PICHA YA LEO
.....TUPIA COMMENT YAKO HAPO CHINI....
WASAPU!!!!!!!
- .........Kuna kaka mmoja alimchukua dada mmoja na kwenda nae katika kioksi kwa ajili ya mazungumzo. Walipofika na kukaa tu katika vitu yule kaka akamuuliza yule dada,.... “unatumia whatsapp?”. Yule dada akajibu kwa kujiamini kabisa , ......“ndio natumia sasa sana za baridi, nimeachana na bavaria siku hizi..”
.....TUPIA COMMENT YAKO HAPO CHINI....
- Wezi wa matunda walikamatwa,kila mmoja akaukumiwa kula m2nda aliyoiba, wa nyanya akaanza kumeza nzimanzima,wa malimao akajpa moyo bt akawa ana cheka xana...akaulzwa una cheka nin,akajbu namshangaa huyu mwenzangu wa mafenesi cjui atafanyaje!...hahahahaha
.....TUPIA COMMENT YAKO HAPO CHINI....
.....TUPIA COMMENT YAKO HAPO CHINI....
.....TUPIA COMMENT YAKO HAPO CHINI....
.....TUPIA COMMENT YAKO HAPO CHINI....